Leave us a review
To help the RentalCover.com community, please take 30 seconds to leave feedback on your experience. We appreciate it!
Rating girl

Mwongozo wa kukodisha

for residents of

Bima ya kukodisha gari Canada

We could not find a policy for this destination and residence combination
Kwa hivyo unakodesha gari ndani ya Kanada.Bila shaka, hamna yeyoye hupenda kufikiria kuhusu bima ya ukodeshaji gari wakati anapofurahia madhari ya Banff National Park, lakini kununua bima ya ukodeshaji gari kabla ya kwenda yaweza kuokoa maelfu, kwa hivyo ni jambo muhimu kufanya. Katika RentalCover.com, tumeunda biashara ya dunia nzima na kuwapa wateja usimamiwaji bora kwa bei nafuu zaidi. Na sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi, ili uweze kuokoa CAD za poutine ya ziada.
: Gari

At the rental desk...

Bima inayotolewa, na nini unahitaji kujua
Ondoleo la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Mgongano (CDW)/Ondoleo la Ugharamikiaji wa Uharibifu kwa Kupoteza (LDW)
CDW/LDW huondoa ugharamikiaji gharama za uharibifu kikamilifu bila kukatwa chochote.LDW ni CDW + Kinga Dhidi ya Wizi.
  • Inaweza kununuliwa kwa 27.43 CA$ - 54.85 CA$ kwa siku.
  • Huenda ukalipa zaidi kwa usimamiwaji mdogo.
  • Huenda isisimamie ada zinazohusiana na ajali.
Bima ya Usaidizi Kandoni mwa Barabara
Husimamia gharama za kandoni mwa barabara kama vile ukokotwaji, mafuta na kufungia funguo.
  • Inaweza kununuliwa kwa 13.71 CA$ - 20.57 CA$ kwa siku.
RentalCover.com Bima inayofananishwa na faida
Bima ya Uharibifu kwa Mgongano
Bima yetu ya Uharibifu kwa Mgongano ni sawia na CDW kutoka kwa yale makampuni ya ukodeshaji gari.
  • $0 za kukatwa.
  • CDI ni usimamiwaji wa kimsingi ili isiathiri malipo yako yako ya kila mwezi.
  • Madai hushughulikiwa na kulipwa na Intact.
  • Ghairi wakati wowote
  • Tunakupatia hakikisho kwamba bei yetu itashinda zingine zote!
    
Jalada la Kukodisha Zaidi ya Zero
     Inalingana na Waiver Zaidi + Msaada wa barabara, lakini kwa $ 0 ziada.     
            
  • Dhamana yetu: Tutawapiga bei yoyote
  •         
  • Tunalipa 98% ya madai ndani ya siku tatu za biashara.
  •         
  • Inajumuisha bima ya bure kwa msaada wa barabara, kutengeneza (inakuokoa             3.36 - 6.71 kwa siku. Pia inashughulikia kupoteza muhimu.
  • Imefunikwa mpaka kikomo cha sera kwa tukio la kila mtu.
  •         
  • Madereva ya ziada kwenye mkataba wa kukodisha hufunikwa moja kwa moja.
  •         
  • Malipo yanayohusiana na uharibifu na gharama za utawala ni kulipwa mara moja kudai inapoidhinishwa.
  •               
  • Hifadhi ada zinazohusiana na ajali
  •     
Hivi ni vidokezo vyetu vikuu ambavyo kwavyo sisi huishinda hiyo kampuni yako ya kodeshaji gari.


Nunua bima kabla haujaondoka na uokoe pesa

Ikiwa hutaki kuingia kwa mtego wa mikwaruzo ya gharama kubwa, wacha ata uharibifu kwa mgongano nunua bima ya rental car kabla haujaondoka.Ukiwa nasi, utalipia sehemu ya bei ya bima kwenye ile meza ya ukodeshaji.

Nasa hali ya hilo gari

Piga picha & video za hilo gari kabla haujaondoka ili kuhepuka ada zisizo za haki. Hakikisha uharibifu wowote ambao tayari upo umeandikishwa kwenye makubaliano ya ukodeshaji kwa maana makampuni mengine laghai ya ukodeshaji gari yana mazoea ya kulipisha mteja uharibifu uliokuweko.

Wewe sema 'la'

Ikiwa umenunua kwetu Bima ya Uharibifu kwa Mgongano, unaweza kusema 'la' kwa kuuziwa cha lazima kwa ajili ya CDW/LDW kutoka kwa kampuni ya ukodeshaji.

Ikiwa umenunua Upunguziwaji wa Excess kwetu, unaweza kusema 'la' kwa kuuziwa cha lazima kwa msaada wa kandoni mwa barabara kutoka kwa hiyo kampuni ya ukodeshaji.

Ukiwa na Bima ya Uharibifu kwa Mgongano...
  1. Fahamisha kampuni yako ya ukodeshaji gari kuhusu huo uharibifu.

  2. Nenda kwa rentalcover.com/claim ili kuripoti ajali zote

  3. Wasilisha bili zozote au nyaraka zinazohitajika. Huenda ukapokea bili kutoka kwa kampuni ya rental car. Ikiwa ni hivyo, ambatisha kwenye madai yako na Intact Insurance Company italipa kampuni ya rental car moja kwa moja. Ikiwa unahitajika kulipa kampuni yako ya ukodeshaji gari kwanza, weka ile shajara na utarejeshewa pale dai lako limeidhinishwa.
Ukiwa na Punguzio la Excess...
  1. Fahamisha kampuni yako ya ukodeshaji gari kuhusu huo uharibifu. Watashauri hatua zitakazofuata.

  2. Wakati ukodeshaji wako umeisha, wasilisha dai lako katika rentalcover.com/claims. Utahitaji nyaraka hizi.

  3. Sisi hulipa 98% ya madai ndani ya siku 3 za kikazi, lakini zingatia kwamba settlement times may differ.

  4. Ikiwa kampuni yako ya ukodeshaji gari itakupea gari jipya, sera yako ya RentalCover.com pia itasimamia hilo gari lako jipya kwa kipindi cha sera yako mradi ubadilishanaji kwa inayofanana. Hauhitaji kutufahamisha kuhusu huo ubadilishaji gari.

Pata nukuu ya safari yako ijayo

:
:
Upimaji kwa magari yenye viti vyema 9 (ikiwa ni pamoja na dereva)